AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Makihiyo na Ben Pol sasa ‘Ni Wako’ (Video)

Muimbaji wa muziki ambaye ni raia wa Norway, Makihiyo ameachia wimbo wake mpya ‘Ni Wako’ akiwa amemshirikisha mkali wa muziki wa R&B Ben Pol.

 

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Makihiyo amesema Ben Pol ni mmoja kati ya wasanii wake bora kutokana na namna anavyobadilika kila wakati na kutoa kazi nzuri ambazo zinawavutia watu wa rika zote.

Muimbaji huo amedai wimbo ‘Ni Wako’ ni wimbo waliouandaa kwaajili ya watu wapendanao.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW