Burudani
Makomando kuzindua video mpya Billicanaz Jumapili hii
Kundi lililoanzisha mtindo wa Kibega, Makomando linatarajia kuzindua video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Ugonjwa wa Moyo’ Jumapili hii kwenye ukumbi wa Billicanaz.
Makomandoo waliotamba na nyimbo kama Simama na Kibega watasindikizwa na Queen Darleen,Asia Mjuni,Barnaba Boy,Abdul Kiba na wengine kibao.