Burudani
Malu Stonch kuja na albamu yake
Mwanamuziki wa bendi ya Stone Mayasika, Malu stonch, anajiandaa na albamu mpya ya Nguvu ya Ushindi itakayo izindua baada ya uzinduzi wa albamu ya bendi yake yenye nyimbo nane. Nilimkuta akiwa Mentro Studio chini Allan Mapigo, akimaliza baadhi ya nyimbo zake.
-Allan Mapigo akiwa kwenye studio yake akitengeneza biti, kwaajiri ya wimbo wa Malu Stonchi.
Allan Mapigo