Habari
Mama ajifungua mtoto asiyekuwa na Ubongo, Songwe (+Video)
Mama mmoja mkazi wa mji mdogo wa Mlowo Mkoa wa Songwe amejifungua mtoto mwenye hitilafu ya kimaumbile asiyekuwa na Ubongo kwa mujibu wa Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Songwe. Chanzo East Africa Tv
https://www.instagram.com/p/CFby3edBEuc/