Burudani

Mama ashindwa kujizuia baada ya watoto wake wa 3 kutinga fainali na mmoja kushinda taji Miss TZ 2019 ”Naitwa Mrs Manoti” (+Video)

Mama kutoka mkoani Mwanza ashindwa kuzuia furaha yake baada ya watoto wake watatu (3) kuingia 10 bora kisha kuingia tena na tano ( 5 ) bora ya Mashindano ya Miss Tanzania 2019 huku mmoja akishinda Taji hilo kwa kuwa Miss Tanzania 2019.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents