DStv Inogilee!

Mama Diamond: Sikumshauri Diamond kuhudhuria msiba wa Ruge, anajua msiba (Video)

Mama Diamond Platnumz mchana wa leo alifika kwenye msiba wa Kibonde Mbezi Afrikana jijini Dar es salaam kwaajili ya kutoa pole kwa wanafamilia wa marehemu Kibonde pamoja na watu walioguswa na msiba huyo mzito.

Akiwa msibani hapo, Mama Diamond alizungumza na waandishi wa habari na kuzungumzia tukio la mtoto wake kuhudhiria msiba wa Ruge wakati awali alionekana kutokuwa na mahusiano mazuri na chombo hicho cha habari.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW