Bongo Movie

Mama Kunumba: Nimeamini kweli nabii hakubaliki kwao (Video)

Mama Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema siku ya leo baada ya msanii wa filamu kutoka nchini Nigeria, Ramsey Nouh kutua nchini na kupata nafasi ya kutembelea kaburi la mwanae huyo aliyefariki mwaka 2012 ni jambo ambalo hakulitegemea katika maisha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents