Burudani ya Michezo Live

Mama mtoto wa Chege afunguka alivyoaanda video ya Pombe (Video)

Video ya wimbo ‘Pombe’ ya msanii Chege yafikisha watazamaji milioni 1.5 kwa siku 4 kupitia mtandao wa YouTube , mama watoto wa Chege aeleza siri ya mafanikio.

Mama watoto wa Chege ambaye ameshiriki kwenye maandalizi ya video hiyo kwa asilimia 100, amesema siri ya kazi hiyo kufanya vizuri imetokana na Maandalizi mazuri ya kazi hiyo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW