Mahojiano

Mama mzazi wa country boy na dada zake wazungumzia makataba wa mwanae, Sijausoma bado ingawa katambulishwa tayari (+Video)

Katika tukio la kutambulisha EP ya Country Boy walihudhuria watu mbalimbali ikiwemo familia yake. Hapa ni Mama yake mzazi Mama Mnadingo pamoja na dada zake pia shemeji yake ambaye ni mke wa kaka yake Babuu wa Kitaa.

baada ya kuzungumza na familia yake wameeleza furaha yao juu ya Country wakimuona anazidi kupiga hatua kwenye kazi yake. Mama Mzazi amegusia suala la mkataba wa mtoto wake na haya ndio yalikuwa majibu yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents