Burudani

Mama Wema achafua hali ya hewa msibani, asema baba mzazi wa Patrick yupo, Casto Dickson ni baba wa mtandaoni tu (+video)

Mama mzazi wa Muigizaji Wema Sepetu amesema kuwa marehemu Patrick sio mtoto halali wa Casto Dickson kama watu wengi wanavyodhani kwani baba yake mzazi yupo na amefunga ndoa kabisa na Muna Love.

Akiongea na waandishi wa Habari, Mama Wema amesema kuwa huyo Casto Dickson ambaye ni mtandangazaji wa kituo cha runinga cha Clouds TV ni baba wa mtandaoni tu na hakuwa baba mzazi wa Patrick.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents