Bongo Movie

[Video] Mama yake mzazi Kanumba afungukua juu ya kifo cha Mwanae

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=DzblJ4B_W90[/youtube] Mama yake mzazi marehemu Kanumba alikuwa safarini Muleba, Bukoba alipopata taarifa juu ya kifo cha mwanae. Taratibu za mazishi zinaendelea kuoangwa na tutawapa ratiba kamili punde itakapopatikana. Kwa sasa tunajua kwamba mazishi yatafanyika siku ya Jumanne na Mama yake amependekeza Kanumba azikwe jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents