Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Mamia wajitokeza kumfariji Mzee Kingunge kufuatia kifo cha mkewe (+Video)

Aliyekuwa Waziri MKuu wa Zamani, Edward Lowassa na Rasi wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali wa siasa wa jitokeza kuaga mwili wa Mke wa mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru. Nyumbani kwake Makumbusho, Victoria jijini Dar es salaam.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW