Mamiss na Uigizaji

Mamiss na Uigizaji
Inasemekana kuwa wimbi la mamiss ambao wamegeukia fani ya uigizaji wa filamu nchini
umetishia amani kwa waigizaji wakongwe wa fani hiyo

Baadhi ya waigizaji wakiume na wazalisha filamu wanaona kutumia mamiss hao kwenye filamu zao zitaongeza mauzo.

Kuna habari kwamba Ray, Kanumba na JB walisema kuwa hakika mamiss wanauza sababu wanamvuto
sana katika filamu kutokana na muonekano wao na kuaponda waigizaji
wakongwe kuwa wamejiachia na kunenepeana kitu kinachowafanya wasiwe na
mvuto.

Nao waigizaji wakike wamegoma maoni ya kaka zao na kujibu kuwa si kweli
kuwa wao hawana mvuto na kudai wao wana kipaji na wanaweza zaidi kikazi
zaidi tofauti na mamiss wengi kuigiza hawajui bali ni wauza sura tu.

Mamiss wanaoigiza ni pamoja na Irene Uwoya, Wema Sepetu, Aunt
Ezekiel, Lisa Jensen na Jokate huku waigizaji wakongwe wakiwa ni Johari,
Monalisa, Theo, Riyama, Nora nk.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents