Fahamu

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania yatoa tahadhari kwa mikoa hii 7 ikitarajiwa mvua kubwa kunyesha

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania yatoa tahadhari kwa mikoa hii 7 ikitarajiwa mvua kubwa kunyesha

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa kuanzia leo katika mikoa saba ambayo ni mikoa ya Singida, Rukwa, Mbeya, Njombe, Songwe, Dodoma na Iringa.

Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wananchi kuzingatia tahadhari ili kuepuka madhara mbalimbali yanayoweza kutokea.

Baadhi ya athari zinazoweza kutokea ni pamoja na makazi kuzungukwa na maji, changamoto ya usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents