Habari

Mamlaka ya mawasiliano Afrika Kusini yaruhusu kuoneshwa kwa channel 3 za ngono

Mamlaka ya mawasiliano nchini Afrika Kusini, ICASA, imeiruhusu kampuni ya matangazo ya TV (king’amuziki) ya TopTV kurusha channel tatu za ngono (porn) Playboy TV, Desire TV na Private Spice.

pink-sexy-lips

TV hizo zitakuwa zikionekana kuanzia saa 2 usiku hadi saa 11 alfajiri. Watazamaji watakuwa wakitumia namba ya siri kuziona TV hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents