Michezo

Man City Yaichakaza Liverpool

Man City imefanya mauaji makubwa baada ya kuifunga liverpool tatu bila katika ligi kuu ya  England

Man City ilipata bao  dakika ya 13 baada Gareth Barry kufunga bao la kwanza, kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na Yaya Toure,Adan Johnson na  James Milner .

Carlos Tevez alifunga bao la pili dakika 55 kutokana na mabeki wa Liverpool kushindwa kuokoa kona . Tevez alionyesha ustadi wake baada ya kufunga kwa penalti dakika 67 baada ya Adam Johnson kumuangusha Martin skrtel ndani ya eneo la hatari .

 

Man City ilitawala sehemu kubwa ya mchezo na ushindi huo ulistahili kwani hawakuwa tishio kama wapinzani wao.
Kocha wa Man United Alex Furguson alikuwepo jukwaani akiangalia kwa makini mpambano huo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents