Tupo Nawe

Man Fongo atoa ya moyoni baada ya uvumi wa kwamba amehukumiwa miaka 30 kisa ubakaji (Video)

Baada ya taarifa kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba muimbaji wa muziki wa Singeli, Man Fongo kwamba amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji, Bongo5 imetua nyumbani kwa muimbaji huyo na kuzungumza naye mambo kadhaa kuhusiana na uvumi huyo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW