Michezo

Man united yaipiku Madrid kwa utajiri

Klabu ya Manchester United imetajwa kuwa ndio timu yenye thamani kubwa duniani kwa mujibu wa jarida la habari za biashara la Forbes.

United inathamani ya kiasi cha pauni billion 2.86 hii ni mara ya kwanza kwa Man United kuongoza listi hiyo katika miaka mitano.

Barca wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, mabingwa wa ulaya Real Madrid wakoa katika nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.77.

Timu zinazofuata kwa thamani duniani

4) Bayern Munich – $2.71bn (£2.10bn)
5) Manchester City – $2.08bn (£1.61bn)
6) Arsenal – $1.93bn (£1.50bn)
7) Chelsea – $1.85bn (£1.43bn)
8) Liverpool – $1.49bn (£1.15bn)
9) Juventus – $1.26bn (£980m)
10) Tottenham – $1.06bn (£820m)

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents