Michezo

Man United yamaliza vibaya ziara ya US kwa kichapo cha 2-0 toka kwa PSG

Manchester United wamemaliza ziara ya Marekani vibaya kwa kupokea kichapo kutoka kwa Paris Saint-Germain, PSG.

2AF2B02800000578-3179391-image-a-16_1438221877263

Wachezaji Zlatan Ibrahimovic na Blaise Matuidi walipeleka kilio hicho kwa Manchester United kwa kuifunga mabao 2-0.

2AF2C99600000578-3179391-image-a-38_1438223398812

Mchezo huo uliochezwa jijini Chicago ulikuwa wa mwisho na Manchester wanajiandaa na ufunguzi wa ligi kuu msimu 2015-16 Agosti 8, 2015. kwa kupambana na Tottenham.

rooney2

2AF2B4A300000578-3179391-image-a-26_1438222330294

Wachambuzi wa soka wamedai kuwa mlinda mlango David de Gea hakuwa katika ubora wake katika mechi hiyo.

2AF2B4B300000578-3179391-image-a-28_1438222338669

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents