Burudani ya Michezo Live

Manara aapa Simba haitakubali kufungwa na Yanga mara mbili, si wameitaka Nusu Fainali (+Video)

Haji Manara aapa kwa msisitizo wote kuwa Mnyama #simbasc haitatokea kufungwa na #yangasc mara mbili.

“Si wameitaka Nusu Fainali, haitatokea #simbasc kufungwa mara mbili na #yangasc . Afe kipa afe beki… “- Kiapo cha Afisa Habari wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Haji Sunday Manara.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW