Michezo

Manara afunguka sakata la Meddie Kagere na kocha wake Sven – Simba siyo klabu ya kuchezewa

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amekanusha vikali taarifa zinazoenea kuwa mchezaji Meddie Kagere amegombana na Kocha wake Sven. Manara amekanusha taarifa hizo huku akiapa kuwa kamwe hatakubali kubebeshwa zigo la lawama kwa kuruhusu taarifa za uongo.

”Meddie Kagere na Kocha Sven Ludwig Vandenbroeck hawajawahi kugombana wala kushikana wala kutukanana. Ndani ya timu ya klabu ya Simba kuna amani ya kutosha inayoambatana na furaha.” – Haji Manara

https://www.instagram.com/tv/CEob9tHjB-K/

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents