Michezo

Manara afunguka ‘Simba mabingwa mwaka huu, mimi sijali mkinishambulia mnaniongezea jina tu’ (+Video)

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa bila shaka yoyote mwaka huu wanaweza kuwa mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara huku akiongeza kuwa hakuna taasisi kubwa na yenye mashabiki wengi wengi zaidi ya timu yake na kamwe hatojali hata akishambuliwa kwakuwa jina lake linazidi kuwa kubwa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents