Burudani

Manara amjibu Afande Sele adai hajui nyimbo zake ‘Sio level zangu, Ameshajifia asubiri Israel atimize wajibu wake’ (+video)

Baada ya Afande Sele kumshambulia kwa maneno makali msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kwa kusema kuwa ni mshamba na hana elimu ya kuiongoza klabu hiyo kwani ameunga unga tu elimu ya darasani . Hatimaye Haji Manara amejibu mashambulizi hayo kwa kusema hamjui msanii huyo na hata nyimbo zake hazijui.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents