Michezo

Manara atinga Lesotho kuwasapoti Taifa Stars ‘wachezaji wakivaa uzalendo tutaweka historia’ (+video)

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ni moja ya Watanzania waliosafiri kwenda nchini Lesotho kushuhudia mchezo wa kufuzu AFCON 2019 kati ya Taifa Stars na timu ya taifa hilo.

Haji Manara akiongea na TBC, amesema kuwa yeye anaamini Taifa Stars imefuzu AFCON kwa kuichapa Lesotho labda wachezaji waamue kufungwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents