Michezo

MANARA awageuzia kibao waandishi wa habari ‘tatizo lenu hamfanyi research, nililia sana’ (+video)

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amewapa somo Waandishi wa Habari za michezo nchini kwa kuwataka wafanye tafiti kabla ya kutangaza au kuandika habari zao.

Manara ameyasema hayo leo Mei 16, 2018 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents