Tupo Nawe

Manara na kindoki wa Yanga “Tufanye mdahalo mimi peke yangu kutoka Simba na viongozi wote wa Yanga na wanachama wao tuongelee mpira waone” – Video

Manara na kindoki wa Yanga "Tufanye mdahalo mimi peke yangu kutoka Simba na viongozi wote wa Yanga na wanachama wao tuongelee mpira waone" - Video

Msemaji wa klabu ya @simbasctanzania @hajismanara aliongea maneno hayo siku ya jana wakati akifanyiwa mahojiano na kituo cha East Afrika Radio
@hajismanara aliongeza pia yeye hana ugomvi na msemaji wa @yangasc BUMBULI pamoja na Afisa mhamasishaji wa klabu hiyo @antonionugaz

Katika mahojiano hayo Manata amesema kuwa “Andaeni mdahalo muwaite viongozi wote wa Yanga na wananchama wao mimi niwe pekee yangu kutoka simba tuongelee mambo ya mpira waone”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW