Michezo

Manchenster yaifumua Asernal 8-2

ManchesterUnitedvArsenalPremierLeaguehK7nJCeNPLgl

 

Hiki ni kipindi cha Furaha kwa mashabiki na wapenzi wa Manchester United, lakini pia ni kipindi cha  karaha kwa mahasimu wake wote kwa kipigo kikali kwa timu ya Asernal katika mechi iliyochezwa jana katika Premie League.


Lakini mwisho wa siku lazima tukubali mpira utaendelea kuwa mpira, na matokeo yataendelea kuwa matokea kwani, lazima mmoja afungwe, mshindi apatikane na ubishi ukizidi basi Droo itokee.  Lakini kila mmoja lazima apate haki yake,  na kila mmoja aliweza kukipanga kikosi chake na kuhisi kimetimia vizuri, na kilikuwa hiviii

Manchester United (4-4-1-1) De Gea; Smalling, Jones, Evans, Evra; Nani, Cleverley, Anderson, Young; Rooney; Welbeck.
Substitutes: Lindegaard, Ferdinand, Berbatov, Giggs, Park, Hernandez, Fabio Da Silva.

Arsenal (4-2-3-1) Szczesny; Jenkinson, Koscielny, Djourou, Traore; Ramsey, Coquelin; Walcott, Rosicky, Arshavin; Van Persie.
Substitutes: Fabianski, Oxlade-Chamberlain, Chamakh, Lansbury, Miquel, Ozyakup, Sunu, Wenger, Rice, Allinson, Groves, Selley, Morrow, Pates, Caesar, Hornby, Dido.

Danny Welbeck huyu ndiye mchezaji wa kwanza kufunga bao upande wa Manchester, Ashley Young akaongeza la pili, Rooney akasindikiza la tatu, baada ya hapo sasa ukawa mchezo wa funika funua mpaka mwisho wa mchezo ikaja kuwa  Man U 8 na Asernal 2.

Hivyo kwa mashabiki wa Asernal Kufungwa bao 8 – 2 sio mwisho wa mchezo, ‘ukimegewa demu wako nawe mtafute mnyonge wako kisha ummege mara mbili ulivyomegewa. Ni hayo tu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents