Michezo

Manchester City imekamilisha usajili wa nyota wa Valencia, Nicolas Otamend

Klabu ya Manchester City hatimaye imekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa Argentina, Nicolas Otamendi aliyekuwa mchezaji wa Valencia kwa dau la pauni milioni 32. Kocha mkuu wa klabu hiyo, Manuel Pellegrini anaamini kuwa amenunua beki bora zaidi.

OtamendiOtamendi

Otamendi alifuzu vipimo vya afya na kukubali kusaini mkataba wa miaka mitano. Kabla ya hapo Otamendi alikuwa akihusishwa kutua Manchester United na Real Madrid.

2B842A5000000578-3204524-image-a-18_1440063281417

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents