Michezo
Manchester City wamsajili Eliaquim Mangala kutoka Porto
Klabu ya Manchester City imefankiwa kukamilisha usajili wa Eliaquim Mangala kutoka Porto kwa dau la pauni milioni 32 kumpata mchezaji huyo. Beki huyo wa kati atavaa jezi namba 20.