Michezo

Manchester United yamsajili mlinda mlango wa Argentina, Sergio Romero

Manchester United imefanikiwa kumsajili kipa namba moja katika timu ya taifa ya Argentina, Sergio Romero mwenye umri wa miaka 28. Mlinda mlango huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Manchester United.

2ADE38A900000578-0-image-a-99_1437955793547

Romero ambaye ni mchezaji huru ametua Man United kuchukua nafasi ya Victor Valdes atakayeondoka majira haya ya kiangazi.

2ADE386100000578-0-image-a-96_1437955783930

Romero alikuwa sehemu ya kikosi cha AZ Alkmaar kilichobeba ubingwa wa ligi ya Uholanzi mwaka 2009 chini ya Louis van Gaal.

2ABEE55E00000578-3174686-image-a-44_1437864176036

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents