Michezo

Manchester United yamsajili Victor Valdes

Kipa wa zamani wa Barcelona Victor Valdes amekubali kujiunga na klabu ya Manchester United.

Victor-Valdes-esta-entrenando-_54419111498_54115221154_600_396

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Spain, ambaye amekuwa akifanya mazoezi na Manchester United kwa zaidi ya miezi miwili katika jitihada za kupona jeraha la goti, amekubali mkataba wa miezi 18.

Valdes, 32, alishinda makombe sita ya La Liga, na matatu ya Champions League akiwa na Barcelona, kabla ya mwisho wa msimu uliopita ambapo mkataba wake ulimalizika.

Mkataba huu huenda ukasababisha kipa wa akiba wa United Anders Lindegaard kuondoka Old Trafford.

Related Articles

2 Comments

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents