Michezo

Manchester United yathibitisha kuwasajili Morgan Schneiderlin na Bastian Schweinsteiger

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kukamilisha usajili wa wachezazaji wawili. Wa kwanza ni Morgan Schneiderlin mwenye umri wa miaka 25 kutoka Southampton. Kiungo huyo Mfaransa anahamia Old Trafford kwa dau la pound milioni 25 kwa mkataba wa miaka minne.

2A7ECC9B00000578-3159318-Manchester_United_have_announced_the_signing_of_Morgan_Schneider-a-6_1436795249921
Morgan Schneiderlin

Mashetani hao wekundu wamethibitisha pia kumsajili Bastian Schweinsteiger kutokea klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani. Manchester United wamekwea pipa kuelekea Marekani katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya ‘Pre-season’ wakiwa na wachezaji wao wapya.

Schweinsteriger 2
Bastian Schweinsteiger

4
Wachezaji wa Manchester United wakiwa ndani ya ndege kuelekea Marekani

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents