Burudani

Maneno ya AY na Fid Q kwa Mavoko, Hatukuwahi kuwa na wasiwasi juu yake tuliamini atarudi tu na atafanya vizuri (+Video)

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @fidq_words na @aytanzania walikuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye tukio la @richmavoko na walipopata nafasi ya kuongea walimshauri Mavoko maneno haya.

Mbali na @aytanzania na @fidq_words kupata nafasi ya kuongea pia @petitman_wakuache alipata wasaa wa kuuliza swali na ilikuwa hivi.

https://www.youtube.com/watch?v=xg8KubG0c3s

https://www.youtube.com/watch?v=wp-WdVniNSQ

https://www.youtube.com/watch?v=MJ0hUHUCg98

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents