Burudani

Maneno ya Jay Z kwa Beyonce kupitia 4:44

Bado utamu unaendelea kupitia albamu ya 4:44, ya rapper Jay Z iliyotoka Juni 30 mwaka huu.

Katika 4:44, JAY-Z amefunguka juu ya mahusiano yake na mkewe Beyoncé kuwa asilimia 100 ya mahusiano yao yanatawaliwa na ukweli licha ya kuwa albamu ya Lemonade ilichochewa kuwa alihusika katika kumsaliti mkewe.

Katika ngom ya ‘Footnotes’ iliyopo ndani ya albamu hiyo inasema kuwa “This is my real life. I just ran into this place and we built this big, beautiful mansion of a relationship that wasn’t totally built on the 100 percent truth and it starts cracking. Things start happening that the public can see. Then we had to get to a point of, ‘Okay, tear this down and let’s start from the beginning … It’s the hardest thing I’ve ever done.”

Mkali huyo wa Roc Nation akafunguka tena “What is happening to my body right now? Did I just say … ‘Don’t leave’? All this is new for me.”

“We just got to a place where, in order for this to work, this can’t be fake. Not one ounce. I’m not saying it wasn’t uncomfortable because obviously it was.” ameimba Jay Z na aliyomsikilizisha Beyonce ngoma hiyo kabla ya kuiachia.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents