Uncategorized

Maneno ya Mbwiga wa Mbwiguke kuelekea mechi ya Al Ahly vs Simba ‘Usiichukulie Simba msiba wa lofa, wapo vizuri’ (+video)

Mdau mkubwa wa soka nchini, Mbwiga wa Mbwiguke amesema kuwa hana wasiwasi na wawakilishi wa Tanzania Simba SC kuelekea kwenye mchezo wao wa klabu bingwa barani Afrika hapo kesho dhidi ya Mafarao wa Misri timu ya Al Ahly akiamini kuwa wapo vizuri licha ya kuwa mchezo huo kuonekana mgumu.


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents