Mahojiano

Maneno ya Petit Man kwa Country boy baada ya kuondoka kwake na kusainiwa na Harmonize Konde Gang (+Video)

Mdau wa muziki wa mfanyabishara Patit Man ametoa amoni yake kuhusu Rapper Country boy kusainiwa na lebo ya Konde Gang iliyopo chini ya Harmonize.

Patit amewajibu watu wanaodai kuwa Country boy ni msanii mkubwa na hakupaswa kusainiwa na Harmonize bora angeanzia lebo yake.

Patit pia ameongeza kuwa katika wasanii wote wa Bongo Fleva ambao amewahi kuwa nao karibu hakuna msanii wmenye nidhamu kama Country boy pamoja an Younglunya.

https://www.youtube.com/watch?v=Tk61mU3xx2A

https://www.youtube.com/watch?v=4zhqjj_1Npw

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents