Michezo

Maneno ya Samatta baada ya kufunga ‘hat-trick’ yawaibua Manara, Salim Kikeke na Profesa Jay

Mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta tarehe 17/08/2019 wikiend hii ilifanikiwa kuipatia klabu yake ya KRC Genk jumla ya mabao matatu (Hat-Trick) kwenye mchezo ambao timu hiyo iliibuka na jumla ya ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya Waasland-Beveren (WBE) mechi ya ligi.

 

Image result for mbwana samatta celebration goals

Mchezaji huyo hatari na moto wa kuotea mbali, Samatta alifunga mabao hayo kuanzia dakika 51′, 66′ na 86 wakati la nne likifungwa na kiungo  wa Ghana Joseph Paintsil.

Siku moja mara baada ya kufunga mabao hayo Samatta aliandika ujumbe unaoeleza furaha yake kupitia akaunti yake ya Instagram.

”Ni furaha kupata point 3 muhimu Leo nje ya nyumbani, timu ilicheza vizuri. Na tunawashukuru mashabiki waliosafiri kutupa sapoti. Forza genk🔵⚪ Pia nna furaha kufunga hattrick yangu ya kwanza msimu huu naimani nyingi zitakuja 😁  Am proud of the boys.  Captain diego🧔🏾.” Aliandika Mbwana Samatta kupitia akaunti ya Instagram.

Mara baada ya kuandika ujumbe huo Samatta ameweza kupata mchango wa mawazo kutoka kwa Watanzania mbalimbali wakiwemo watu maarufu kama Mtangazaji wa Shirika la habari la BBC, Salim Kikeke, Haji Manara, Rapper Profesa Jay ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mikumi na watu wengine.

Na hivi ndivyo walivyochangia ujumbe wa Mbwana Samatta, hasa kwakutaka kuongeza juhudu pamoja na kumsia.

salim_kikeke

Verified

Left foot, right foot header! Knock ‘em out! 👊🏿👊🏿👊🏿

hajismanara

Verified

🙌🙌

professorjaytz

Verified

Tunaaanzaa upyaaaaaaaaa🙌🙌🙌

samagoal77

Verified

@professorjaytz mwanzo kabisa

jerrymuro1980

Sisi tunaendelea kukuombea , kwa sasa tunaona hapo sio mahali pako, wameshakuelewa sana uwezo wako cha msingi sasa tuondoke hapo twende mbele kaka yangu hao wakikuzoea watadhani unafanana nao wakati wewe ni level ingine @samagoal77

official_juma_kaseja

🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪 @samagoal77

himid23mao

Verified

Diego 🧔🏽 👊🏽⚽️💪🏽

samagoal77

Verified

@himid23mao zizou

19h

e_banda_12

Verified

🔥🔥🔥🧨good game bro…was nice watching you yet again score a hattrick 💪🏽💪🏽🔥👏🏽👏🏽

https://www.instagram.com/p/B1R8fCgIPMM/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents