Habari

Manispaa ya Kigoma Ujiji kutokusanya ushuru, Mh. Zitto amuibua Polepole Bungeni (+video)

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama ACT- Wazalendo amesema kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji haikusanyi ushuru, watendaji wamegoma kwasababu amri ya Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole. Naibu Waziri TAMISEMI ametoa majibu ya Serikali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents