Michezo

Manuel Pellegrini kulipwa mkwanja mrefu zaidi West Ham

Manuel Pellegrini anatarajiwa kuwa kocha wa  West Ham anaelipwa fedha nyingi kuwahi kutokea kwenye historia ya klabu hiyo mara baada atakapoingia kandarasi rasmi saa 48 zijazo.

Kocha, Pellegrini anatarajiwa kukusanya kitita kizito zaidi ya paundi milioni 16 aliyokuwa akilipwa kwa mwaka kwenye ligi ya China.

Duru za habari zinaeleza kuwa Mwanasheria wa meneja huyo upo kwenye hatua za mwisho kuhakikisha mambo yanakwenda sawa ndani ya klabu ya, West Ham ili kocha huyo mwenye umri wa miaka 64 aliyeachana na timu ya  Hebei China anafanikiwa kwenye dili hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents