Bongo Movie

Mapenzi ya Bongo yanitue kwa sasa -Rammy

Baada ya kuachana na Video Vixen wa Bongo, Agnes Masogange hatimaye muigizaji wa filamu Rammy Gallis amesema mapenzi ya Bongo yamtue kwasasa kwa kupata kambi mpya ya moyo.

Kupitia mahojiano aliyofanya na moja ya gazeti pendwa Bongo Rammy ameeleza kuwa kwa sasa yupo katika mahusiano na Princess Shyngle, mrembo kutoka Gambia mwenye makazi yake nchini Naigeri.


Princess Shyngle mpenzi mpya wa Rammy

“Moja ya vitu avyonivutia kwa Shyngle ni umbo lake, nampenda sana naamini yeye ndiye tulizo la moyo wangu, mapenzi ya Kibongo yanitue kwa sasa,” amesama muigizaj huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents