Videos

Mapenzi yasababisha mama kuchoma nyumba moto ili wafe yeye na wanae wakiwa ndani

Mama mmoja nchini Kenya ameichoma nyumba yake moto huku yeye wanae wakiwa ndani. Inadaiwa kuwa mama huyo aliwaambia watoto wake walale na wasiende shule huku lengo likiwa ni kuchoma nyumba moto wakiwa ndani ili wote wateketee kuepuka ugumu wa maisha baada ya kuachwa na mumewe.

Majirani walifanikiwa kuwaokoa baada ya kuona moshi mkubwa uliokuwa unatoka kwenye nyumba hiyo. Hata hivyo nyumba iliteketea.

Source: KTN

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents