Burudani

Mapya yaibuka mkanda wa ngono wa Blac Chyna

Bado vugu vugu la makanda wa ngono linazidi kumuumiza kichwa mwanamitindo kutoka Marekani Blac Chyna.

Kwa mujibu wa watu wa karibu wa mrembo huyo wameueleza mtandao wa TMZ, kuwa aliyekuwa katika mkanda huo wa dakika 13 sio Blac Chyna ni mwanamke mwengine.

Mkanda huyo ambao ulivuja mapema wiki hii kupitia mtandao wa Twitter ulimuonyesha mwanamke huyo anayedhaniwa kuwa ni Blac Chyna akifanya kitendo cha ngono na mwanaume ambaye mpaka sasa hajajulikana licha ya kuwa mpenzi wake Mechie kudai ni yeye.

Hata hivyo watu wengi wameendelea kupinga kauli ya Chyna, huku wakidai kuwa yeye ndiye aliyekuwa akatika mkanda huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents