Tia Kitu. Pata Vituuz!

Mapya yaibuka ndani ya timu ya Wananchi Yanga ”Anataka kutugawa, tumetoka kumfunga Simba ”(+Video)

Msemaji wa Klabu ya Wananchi Yanga, Hassan Bumbuli amefunguka juu ya mmoja wa Wanachama wao kutoa taarifa ambazo amedai hazikuwa za kweli ”Tumesikitishwa sana na taarifa zimeendelea kutolewa na mmoja kati ya Mwanachama wetu, akihusisha kikao cha Kamati ya Utendaji na shutuma mbalimbali pamoja na viongozi. Taarifa hizo sio za kweli na zimelenga kupotosha umma na kutugawa #Wanayanga katika kipindi hiki ambacho tumetoka kumfunga #Simbasc

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW