Michezo

Maradona amfananisha Louis van Gaal na shetani kwa kutompa nafasi Falcao

Wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Bogota, Colombia kupigia kampeni ya mechi ya hisani, nyota wa zamani wa Argentina, Diego Maradona alimkosoa kocha wa Manchester United Van Gaal kwa namna anavyomtendea Falcao.

mara

Mcolombia huyo alikuja United akiwa na rekodi nzuri ya kufunga magoli, miezi nane baadaye, amejikuta akifunga magoli manne kwenye klabu hiyo.

mara1

Falcao amekuwa kwenye benchi kwenye mechi tano na hivyo kumkera Maradona.

mara2

Akizungumza na waandishi wa habari na kuulizwa kuhusu anavyomchukulia mholanzi huyo anavyomchukulia Falcao, Maradona alisema, “Van Gaal, si mtu mzuri, Van Gaal yuko karibu na shetani kuliko kitu chochote.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents