Michezo

Marcus Rojo apata majeraha aumia bega mazoezini

Beki wa kushoto wa Klabu ya Manchester united Marcus Rojo atakua nje ya uwanja kwa muda wiki kadhaa baada ya kuumia bega wakati wa mazoezi.

2ECEEEDA00000578-0-image-m-5_1449173168935

Rojo alipata ajali hiyo ya kufanyatuka bega ilitokea wakati wa mazoezi ya Alhamis kwa bega lilelile lilofyatuka msimu uliopita katika mchezo dhidi ya Manichester City.

Rojo hakufanyiwa upasuaji kwa jeraha hilo ila alikaa nje ya dimba kwa muda wa wiki nne.

Klabu yake bado haijazungumzia swala la beki huyu ila ikitarajiwa kuwa leo ijumaa kocha mkuu wa kikosi hicho Louis van Gaal atazungumzia kuumia kwa beki huyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents