Burudani

Mario ampiga mama yake

 

Mwanamuziki wa R&B kutoka pande za Marekani, Mario amekamatwa na polisi mitaa ya Baltimore kwa kumpiga mama yake mzazi aitwaye Shanwntia Hardaway na kumjeruhi vibaya baada ya kudaiwa kuwa anatumia madawa ya kulevya.

Kwa mujibu wa wakili wake William Murphy III kwa sasa Mario yuko nje kwa dhamana ya $ 50,000.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents