Tupo Nawe

Marissa mjukuu wa Mbaraka Mwinshehe aachia audio ya wimbo wake “Aku” 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marisa ambaye ni mjukuu wa mkongwe wa muziki wa dansi Mbaraka Mwinshehe, Ikumbukwe Mbaraka Mwinshehe ndio mwanamuziki pekee aliyeshinda mashindano ya China miongo iliyopita akamshinda Franco. Marisa ameachia audio ya wambo wake mpya unaoitwa  video ya wimbo huu ambapo amezungumzia mambo mbalimbali huku akikumbulishia maneno ya marehemu Ruge mutahaba.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW