Burudani ya Michezo Live

Marissa mjukuu wa Mbaraka Mwinshehe aachia video mpya ya wimbo wake “Simama” – Video

Marissa mjukuu wa Mbaraka Mwinshehe aachia video mpya ya wimbo wake "Simama" - Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marisa ambaye ni mjukuu wa mkongwe wa muziki wa dansi Mbaraka Mwinshehe, Ikumbukwe Mbaraka Mwinshehe ndio mwanamuziki pekee aliyeshinda mashindano ya China miongo iliyopita akamshinda Franco.

Marisa ameachia video ya wimbo huu ambapo amezungumzia mambo mbalimbali huku akikumbulishia maneno ya marehemu Ruge mutahaba.

Wimbo huo wa SIMAMA Audio imefanywa na Producer Aloneym katika studio za Smile Sasa TZ huku ukiandikwa na Chap Kontawa na Video ya wimbo huo ikifanywa na Directer wa Kwetu Studio.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW