Burudani

Marlaw akwea pipa kula pasaka

Marlaw_na_Tudd

Mkari wa Kiduku Marlaw anatarajia kupanda pipa msimu wa pasaka kwenda kufanya Show, katika miji ya  Tripple , Luton Club 19 na  London. Ameomba mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani ujio wake ni mkari, huku akiwa namsanii mwenzake toka Kenya Jua kari, na kusema anataka kufanya mambo makubwa zaidi.


Marlaw

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents