Burudani

Marlaw kufanya show nchi 5 za Ulaya

Marlaw_na_Tudd

MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya nchini, na mkali wa staili ya kiduku Marlaw anatarajia kufanya Tour katika nchi za  bara la Ulaya kwa kufanya show katika nchi tano za bara hilo, ambapo ataondoka siku ya jumanne julai 26.

 


mwanamuziki huyo nchi ambazo anategemea kwenda kufanya show, kwa kuwafundisha staili ya kiduku ni Ufaransa, Uholanzi, Norway, Uswisi na Ujerumani.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents